Kusherehekea Mafanikio Yetu ya Kimataifa

Tunajivunia kutambuliwa kimataifa, inayoonyesha kujitolea kwetu kutoa hali ya kipekee ya kufanya biashara na kudumisha uongozi wetu katika masoko ya fedha duniani.
Tuzo Zetu
2024
2025
2026
Mpango Bora wa Introducing Broker - MENA
Global Forex Awards
Mpango Bora wa Introducing Broker - MENA
Global Newcomer
of the Year
Global Forex Awards
Mgeni Mpya Bora wa Kimataifa wa Mwaka
Broker Anayekua kwa Kasi Zaidi katika MENA
Forex Traders Summit Dubai
Broker Anayekua kwa Kasi Zaidi katika MENA
Best Fintech &
Solutions
Forex Traders Summit Dubai
Fintech na Suluhisho Bora
Best Innovation
Broker
Forex Traders Summit dubai
Broker Bora wa Ubunifu
Mpango Bora wa Ushirikiano
Money Expo Colombia
Mpango Bora wa Ushirikiano
Most Innovative
Broker Award
Money Expo India
Tuzo ya Broker Mwenye Ubunifu Zaidi
Top Trading
Technology Platform
SVS South Africa
Jukwaa Bora la Teknolojia ya Trading
Tuzo ya Ubora wa Forex Duniani
SVS South Africa
Tuzo ya Ubora wa Forex Duniani
Top Expansion
Broker
Forex Expo Dubai
Broker Bora katika Upanuzi
Global Forex Broker
of the Year
SVS Bahrain
Broker wa Forex wa Mwaka Duniani
Best Forex Mobile
App MENA
SVS Bahrain
Programu Bora ya Simu ya Forex katika MENA
Outstanding Forex
Affiliate Excellence
Affiliate & Influences

summit dubai
Ubora wa Kipekee katika Ushirika wa Forex
Most Trusted
Forex Platform
Smart Vision Summit Egypt
Jukwaa la Forex Linaloaminika Zaidi
Best Account
Management Services
Jeddah Fintech week
Huduma Bora za Usimamizi wa Akaunti
Best Copy Trading
Platform
Jeddah fintech week
Jukwaa Bora la Copy Trading
Best Global
Forex Broker
Jeddah FIntech week
Broker Bora wa Forex Duniani
The Best Broker
in Australia
Traders union Award
Broker Bora Zaidi nchini Australia
Ubora wa Biashara
Money Expo Mexico
Ubora wa Biashara
Broker Dalali Bora wa Forex Fintech
Money Expo India
Broker Dalali Bora wa Forex Fintech
Tuzo ya Mafanikio Bora ya Broker wa Kimataifa
Forex Expo Dubai
Tuzo ya Mafanikio Bora ya Broker wa Kimataifa
Kwa Nini Tuzo Hizi Ni Muhimu
Katika Valetax, tuzo hizi ni zaidi ya sifa tu; zinaonyesha dhamira yetu ya kuwawezesha wafanyabiashara kupitia zana bora, usaidizi na hali bora za kufanya biashara.
Ubunifu na Ubora
Ubunifu na Ubora
Mfumo wetu ulioshinda tuzo umeundwa kwa kumzingatia mfanyabiashara, unaotoa teknolojia ya kisasa, utekelezaji rahisi na kiolesura kinachomfaa mtumiaji kinachofanya biashara iwe rahisi na fanisi zaidi.
Uwazi na Uaminifu
Uwazi na Uaminifu
Tunajivunia kuwa dalali ambaye wateja wetu wanaweza kumwamini. Kuanzia bei wazi na ya haki hadi mawasiliano ya uaminifu, uwazi ndio kiini cha kila kitu tunachofanya.
Huduma Inayozingatia Mteja
Huduma Inayozingatia Mteja
Wateja wetu ndio kiini cha mafanikio yetu. Tunajitahidi zaidi tuwezavyo ili kuhakikisha kila mfanyabiashara anapokea usaidizi anaohitaji, iwe ni mgeni au mtaalamu mwenye uzoefu.
Kwa Nini Ufanye Biashara na Valetax?
Spreads from 0.0 Pips
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji ya Pip 0.0
Kwa kutoa tofauti za chini zaidi za bei ya ununuzi na uuzaji, tunakusaidia unufaike zaidi na viwango vya faida.
Commission Free Trading
Kufanya Biashara Bila Makato ya Asilimia ya Faida
Nufaika na muundo wetu wa kufanya biashara bila makato ya asilimia ya faida, ufurahie huduma isiyo na usumbufu.
Fast and Secure Withdrawals
Kutoa Pesa Haraka na Salama
Tunakupa utulivu wa mawazo, kwa taratibu za haraka na salama za kutoa pesa.
Funds' Security
Usalama wa Fedha
Unahakikishiwa usalama wa fedha zako, kwa kudumisha akaunti za wateja zilizotenganishwa kabisa
Very Fast and Seamless boarding
Uandikishaji wa Haraka na Rahisi
Pitia utaratibu wetu wa haraka sana na rahisi wa uandikishaji.
24/7 Customer Service
Huduma kwa Wateja ya Saa 24 Kila Siku
Timu yetu ya usaidizi inapatikana saa 24 kila siku ili kukupa usaidizi wa haraka, wakati wowote, popote ulipo.
Anza Kufanya Biashara

Uko tayari kuanza?

Weka mipangilio ya akaunti yako kwa hatua 3 rahisi

1

Jisajili

Fungua aina ya akaunti unayopenelea ya kufanya biashara

2

Weka Pesa

Weka pesa kwenye akaunti yako ukitumia chaguo zinazopatikana zenye leseni

3

Fanya Biashara na Uchume Pesa

Fanya biashara kwa umahiri na upate faida kubwa leo!

Anza Kufanya Biashara